SALAMU ZA SIKUKUU

Mwenyekiti wa Baraza la Kilimo Tanzania anawashukuru wanachama na wadau wa Sekta ya Kilimo kwa ushirikiano mliouonyesha kwa kipendi cha mwaka 2021. Anawatakia heri ya sikukuu ya Christmass na Mwaka Mpya 2022." Ni matumani yetu tutaendelea kushirikiana kwa ukaribu, kuhakikisha Sektaya Kilimo inakua"