Collection of the Fiscal/Tax Reform Proposal for the FY2022/23

Baraza la Kilimo Tanzania linakamilisha zoezi la kukusanya maoni kuhusu mapendekezo ya kodi kwa Mwaka wa Fedha 2022/23. Tunatafahamu kwamba baadhi ya wanachama wameshatoa maoni yao. Kwa wale ambao bado, hii ni fursa muhimu sana ya kupendekeza maboresho hayo. Kwa muktadha huu, Baraza la Kilimo ACT limeandaa mkutano utakaofanyika kwa njia ya mtandao (Zoom) tarehe 10 Februari 2022 kwa lengo la kupokea maoni hayo. Ili kushiriki mkutano huo, tafadhali jisajili kupitia…… Kwa wale ambao watashindwa kushiriki kikao cha Mtandaoni wanaweza kutuleta kwa njia ya barua pepe, au kujaza fomu kwenye tovuti na kwa kupiga simu kupitia namba 0754299118.

Event Information

Event Date 02-10-2022 10:00 am
Event End Date 02-10-2022 1:00 pm
Registration Start Date 02-07-2022 10:00 am
Capacity Unlimited
Registered 40
Cut off date 10-10-2022 10:00 am
Individual Price Free
Location Online
We are no longer accepting registration for this event