TAARIFA YA PONGEZI KWA MWENYEKITI WETU
Tunatoa pongezi za dhati kwa Mhe. Jitu Soni (Mwenyekiti wa Baraza la Kilimo Tanzania) kwa kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 24 uliofanyika tarehe 16 Oktoba 2026, jijini Dar es Salaam.
Uchaguzi huu ni hatua muhimu inayodhihirisha imani na matarajio ya wadau wa sekta binafsi katika kuimarisha uongozi, ushirikiano na maendeleo endelevu ya sekta hiyo nchini.
Tunatambua na kuthamini mchango wa Mhe. Jitu Soni katika uongozi, na tuna matumaini kuwa nafasi hii mpya itaendelea kutoa fursa ya kuendeleza ajenda za sekta binafsi na kuchangia ukuaji wa uchumi wa taifa.
Tunamtakia mafanikio mema katika utekelezaji wa majukumu yake mapya na tunatoa dhamira yetu ya kuendelea kuunga mkono juhudi zinazolenga kuimarisha sekta binafsi kwa manufaa ya taifa.
Hongera sana, Mhe. Jitu Soni, kwa mafanikio haya muhimu.
Pamoja katika uongozi, ushirikiano na maendeleo ya sekta binafsi.
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
CONGRATULATORY MESSAGE TO OUR CHAIRPERSON
We extend our heartfelt congratulations to Hon. Jitu Soni, Chairperson of the Tanzania Agricultural Council, on his election as Vice President of the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) during the 24th Annual General Meeting held on 16 October 2026 in Dar es Salaam.
This election marks a significant milestone, reflecting the confidence and expectations of private sector stakeholders in strengthening leadership, collaboration, and the sustainable development of the sector in Tanzania.
We recognize and appreciate Hon. Jitu Soni’s contribution to leadership and are confident that this new position will provide further opportunities to advance the private sector agenda and contribute to the growth of the national economy.
We wish him every success in carrying out his new responsibilities and reaffirm our commitment to supporting initiatives aimed at strengthening the private sector for the benefit of the nation.
Congratulations, Hon. Jitu Soni, on this significant achievement!
Together for leadership, collaboration, and private sector development.
#CongratulationsHonJituSoni #TPSF #PrivateSector #LeadershipAndDevelopment
