PONGEZI ZA SEKTA BINAFSI KWA SERIKALI NA WIZARA YA KILIMO

Wadau wa sekta binafsi kwa pamoja tunapenda kutoa pongezi na shukrani zetu za dhati kwa RaisWadau wa sekta binafsi kwa pamoja tunapenda kutoa pongezi na shukrani zetu za dhati kwa Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Uongozi mzima wa Serikali yaAwamu ya Sita kwa juhudi za kusimamia na kuendeleza sekta ya kilimo nchini.

 Kipekee kabisa, tunaishukuru Wizara ya Kilimo kwa maono, ushauri na ushirikiano wa karibuKipekee kabisa, tunaishukuru Wizara ya Kilimo kwa maono, ushauri na ushirikiano wa karibukatika kuhakikisha kilimo cha Tanzania kinakuwa chenye tija na cha kuwainua wananchiwanaojishughulisha kwenye sekta ya kilimo nchini.

Soma Zaidi Hapat.gif